Ziwa Balangida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ziwa Balangida ni ziwa dogo (kilometa mraba 33) nchini Tanzania. Liko upande wa kaskazini, katika bonde la ufa.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]