Ziwa Empakai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ziwa Empakai kutoka upande wa juu

Ziwa Empakai (pia: Embakai) ni kati ya maziwa madogo ya Tanzania.

Linapatikana katika mkoa wa Arusha.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]