Ziwa Burigi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ziwa Burigi kutoka angani. Kulia ni Ziwa Viktoria.

Ziwa Burigi ni ziwa la Tanzania kaskazini-magharibi, katika mkoa wa Kagera.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

2°07′23″S 31°18′54″E / 2.123°S 31.315°E / -2.123; 31.315