Wilaya ya Karagwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Karagwe (kijani) katika mkoa wa Kagera.

Wilaya ya Karagwe ni wilaya moja ya Mkoa wa Kagera. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 332,020 [1].

Wilaya hii inajumlisha sehemu kubwa ya utemi wa Karagwe ya Kale yenye historia ya karne nyingi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Karagwe - Mkoa wa Kagera - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bugene | Bweranyange | Chanika | Chonyonyo | Igurwa | Iha | Ihembe | Kanoni | Kayanga | Kibondo | Kihanga | Kiruruma | Kituntu | Ndama | Nyabiyonza | Nyaishozi | Nyakabanga | Nyakahanga | Nyakakika | Nyakasimbi | Rugera | Rugu


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Karagwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.