Mto Themi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Themi ni tawimto la mto Kikuletwa ambao ni kati ya vyanzo viwili vikuu vya mto Pangani ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa nchi Tanzania).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]