Nenda kwa yaliyomo

Mto Waramu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Waramu ni tawimto la mto Weruweru na kwa njia yake unachangia mto Kikuletwa ambao ni kati ya vyanzo viwili vikuu vya mto Pangani ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa nchi Tanzania).

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]