Mto Luwegu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Luwegu ni mto wa Tanzania mashariki, unaotiririka hadi kuungana na mto Kilombero na kuunda nao mto Rufiji ambao unaishia katika Bahari Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]