Ruvu (Pangani)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mto Jipe Ruvu)
Jump to navigation Jump to search

Mto Ruvu (pia: Luffu au Jipe Ruvu) ni jina la mojawapo kati ya matawimto muhimu zaidi ya mto Pangani[1] kaskazini mashariki mwa Tanzania.

Mto Ruvu unaanza kama Mto Lumi kwenye Kilimanjaro, unapitia ziwa Jipe na kuishia lambo la Nyumba ya Mungu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]