Mto Lagh Kutulo
Mandhari
Mto Lagh Kutulo ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya.
Ni tawimto la mto Lak Bor, tawimto la mto Lagh Dera, ambao tena ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Lagh Kutulo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |