Nenda kwa yaliyomo

Mto Thego

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Thego unapatikana katika kaunti ya Nyeri, katikati ya Kenya.

Ni tawimto la mto Sagana ambao unaingia katika mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]