Mto Chania (Thika)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Chania (Thika) unapatikana Kenya. Ni tawimto la mto Thika ambao unaingia katika mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.