Nenda kwa yaliyomo

Mto Muhuhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Muhuhi unapatikana katika kaunti ya Nyeri, katikati ya Kenya.

Ni tawimto la mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]