Nenda kwa yaliyomo

Mto Naro Moru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Naro Moru unapatikana nchini Kenya. Ni tawimto la mto Ewaso Ng'iro, tawimto la mto Lagh Dera, ambao tena ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]