Mto Nanyuki
Mandhari
Mto Nanyuki unapatikana nchini Kenya. Ni tawimto la mto Ewaso Ng'iro, tawimto la mto Lagh Dera, ambao tena ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Nanyuki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |