Mto Tudor Creek

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Tudor Creek

Mto Tudor Creek unapatikana Kenya. Una urefu wa kilometa 32, kati ya Mariakani na Mombasa unapoingia katika Bahari ya Hindi.