Nenda kwa yaliyomo

Mto Oltulili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mto Ontulili)

Mto Oltulili unapatikana katika kaunti ya Laikipia, katikati ya Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).

Maji yake yanaishia katika mto Jubba na hatimaye katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]