Mto Riana
Mandhari
Mto Riana unapatikana katika kaunti ya Homa Bay, magharibi mwa Kenya (kwenye ziwa Nyanza).
Ni tawimto la mto Gucha ambao unaishia katika ziwa Viktoria, ukichangia hivyo mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Riana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |