Tsavo (mto)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mto Tsavo)
Jump to navigation Jump to search

Tsavo ni jina la mto mmojawapo wa Kenya kusini.

Chanzo chake ni karibu na mpaka wa Tanzania, mguuni pa mlima Kilimanjaro. Unapita Mbuga wa Wanyama wa Tsavo Mashariki na kuishia katika mto Athi karibu na Maporomoko ya maji ya Lugard. Kuanzia hapa mto huitwa Galana.

Mto Tsavo ulijengewa daraja mara ya kwanza wakati wa reli ya Uganda na daraja lile lilikuwa mahali ambako simba waliua wafanyakazi 135.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]