Korongo (jiografia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Makorongo huko Misri, Afrika Kaskazini.
Fiumara del Patrì, Sicilia, Italia.

Korongo (kijiografia) ni mfereji mkubwa kama mto usio na maji ya kutiririka mwaka mzima, au mvo wa (bonde la) mmomonyoko.

Hata hivyo chini ya mchanga wake mara nyingi watu huenda kuchota maji katika mazingira ya ukame.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Korongo (jiografia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.