Mto Ganale Dorya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Ganale Dorya ni mto wa Ethiopia kusini wenye maji mwaka mzima. Unapoungana na mto Dawa, karibu na mpaka wa Somalia, inakuwa mto Jubba ambao unatiririkia kusini hadi bahari ya Hindi.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Ganale Dorya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.