Nenda kwa yaliyomo

Mto Baro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Beseni la Mto Sobat.

Mto Baro unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia, mpakani mwa Sudan Kusini.

Unaungana na mto Pibor kuunda mto Sobat, ambao maji yake yanaingia katika Nile Nyeupe.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Baro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.