Mto Kidepo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mito na maziwa ya Uganda.

Mto Kidepo unaanza nchini Uganda (wilaya ya Kaabong), unapokea maji ya Mto Narus kilometa 13 baada ya kuingia nchini Sudan Kusini na unaishia katika Nile Nyeupe.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Kidepo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.