Mto Ajuba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Beseni la Mto Sobat.

Mto Ajuba unapatikana mashariki mwa Sudan Kusini.

Ni tawimto la mto Akobo ambalo tena ni tawimto la mto Pibor ambalo maji yake yanaishia katika mto Sobat, Nile Nyeupe na hatimaye Bahari ya Kati.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Ajuba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.