Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kitui ya Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Kitui ya Kati ni mojawapo ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo nane ya Kaunti ya Kitui, Mashariki mwa Kenya.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963, huku mbunge wake wa kwanza akiwa Eliud Ngala Mwendwa.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963Eliud Ngala MwendwaKANU
1969Eliud Ngala MwendwaKANUMfumo wa chama Kimoja
1974Daniel Musyoka MutindaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1976Daniel Musyoka MutindaKANUUchaguzi mdogo
1979Titus MbathiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983John MutindaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988George NdottoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Charity NgiluDP
1997Charity NgiluSDP
2002Charity NgiluNARC
2007Charity NgiluNARC
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojiandikisha
Baraza la Utawala wa Mitaa
Itoleka / Katulani5,140Munisipali ya Kitui
Kisasi / Mbitini / Mbusyani14,025Kitui county
Kitui township / Kaveta8,874Munisipali ya Kitui
Kyangwithya East11,288Munisipali ya Kitui
Kyangwithya West8,200Munisipali ya Kitui
Maliku4,738Kitui county
Miambani5,196Kitui county
Mulango6,504Munisipali ya Kitui
Jumla63,965
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]