Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kitui Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Kitui Kusini ni mojawapo ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo nane ya Kaunti ya Kitui, Mashariki mwa Kenya. Lina wodi sita, zote zikichagua madiwani kwa baraza la Kitui County.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1963, ambao ulikuwa wa kwanza kwa Jamhuri ya Kenya. Wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1988 na 1992, Jimbo la uchaguzi la Mutomo.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963Philip Nzuki MbaiKANU
1969Philip Nzuki MbaiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Patrice Mwangu IvutiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Patrice Mwangu IvutiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983E. Mwangu IvutiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Philip Nzuki MbaiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Isaac Mulatya MuokiKANU
1997Samuel Kalii KiminzaSDP
2002Patrice Mwangu IvutiFord-Asili
2007Issac Mulatya MuokiODM-Kenya
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili
Ikanga / Kyatune9,261
Ikutha / Kasala6,892
Kanziko / Simisi / Mathima7,199
Maluma / Athi / Kalivu9,018
Mutha / Ndakani4,310
Mutomo / Kibwea7,024
Jumla43,704
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]