Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Mwingi Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Mwingi Kaskazini ni moja kati ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Kitui, Mashariki mwa Kenya, likiwa miongoni mwa majimbo mawili katika kaunti hiyo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1997. Mbunge wake wa sasa Kalonzo Musyoka awali alikuwa akiliwakilisha jimbo la Kitui Kaskazini kabla ya jimbo hilo kutawanywa kabla ya uchaguzi wa 1997.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997 Kalonzo Musyoka KANU
2002 Kalonzo Musyoka NARC
2007 Kalonzo Musyoka ODM-Kenya

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Endui 7,774
Kakuyu 21,033
Kamuwongo 7,825
Kanthungu 5,889
Kanzanzu 6,639
Katse 7,516
Kimangao 12,372
Kyuso 11,343
Mitamisyi 5,958
Mivukoni 9,001
Musavani 9,074
Musyungwa 8,279
Mutanda 4,114
Mwingi 37,833
Ngomeni 6,713
Nguni 11,199
Tharaka 5,935
Tseikuru 10,643
Waita 12,898
Jumla x
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Kakuyu / Mukong'a 5,596 Mwingi County
Kanzanzu 2,492 Mwingi (Mji)
Katse / Mutanda / Nguuku 5,205 Mwingi County
Kimangau 4,263 Mwingi County
Kivou / Enziu 3,848 Mwingi (Mji)
Kyuso / Kamuw'ongo 6,133 Mwingi County
Masyungwa / Mivukoni 6,285 Mwingi County
Mitamisyi / Ngomeni 4,579 Mwingi County
Mwingi / Ithumbi 3,509 Mwingi (Mji)
Nguni 3,688 Mwingi County
Tharaka / Kanthungu 3,351 Mwingi County
Tseikuru / Musavani 6,639 Mwingi County
Waita / Endui 6,784 Mwingi County
Jumla 62,372
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]