Wilaya ya Lushoto
Wilaya ya Lushoto ni kati ya wilaya kumi za Mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Mwaka 2012 ilikuwa na wakazi 492,441 [1] walioishi katika kata 43 za wilaya hii.
Wilaya ya Lushoto ni sehemu ya milima ya Usambara. Inapakana na Wilaya ya Muheza na nchi ya Kenya upande wa kaskazini. Upande wa mashariki-kusini imepakana na Wilaya ya Korogwe. Upande wa magharibi imepakana na Wilaya ya Korogwe na Mkoa wa Kilimanjaro.
Wenyeji asilia ni Wasambaa na Wambugu.
Utawala[hariri | hariri chanzo]
Wilaya imegawanyika katika tarafa nane za Lushoto, Soni , Bumbuli, Mgwashi, Mlola, Mlalo, Mtae na Umba na kata 44.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
Habari za jimbo la uchaguzi la Bumbuli katika wilaya ya Lushoto Archived 15 Oktoba 2021 at the Wayback Machine. Vivutio vya utalii katika Lushoto Archived 15 Oktoba 2021 at the Wayback Machine.
Marejeo na Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Lushoto kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |
![]() |
Kata za Wilaya ya Lushoto - Mkoa wa Tanga - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Baga | Bumbuli | Dule "B" | Dule "M" | Funta | Gare | Hamtoye | Kilole (Lushoto) | Kwai | Kwekanga | Kwemashai | Kwemshasha | Lukozi | Lunguza | Lushoto | Maheza Ngulu | Makanya | Malibwi | Malindi | Mamba | Manolo | Mayo | Mbaramo | Mbuzii | Mgwashi | Milingano | Mlalo | Mlola | Mnazi | Mng'aro | Mponde | Mtae | Mwangoi | Ngulwi | Ngwelo | Nkongoi | Rangwi | Shume | Soni | Sunga | Tamota | Ubiri | Usambara | Vuga |