Wilaya ya Kishapu

Mahali pa Kishapu (kijani) katika mkoa wa Shinyanga.
Wilaya ya Kishapu ni wilaya moja ya Mkoa wa Shinyanga. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 240,086 [1].
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kishapu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |
![]() |
Kata za Wilaya ya Kishapu - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bubiki | Bunambiyu | Itima | Kiloleli | Kishapu | Lagana | Masanga | Mondo | Mwadui Lohumbo | Mwakipoya | Mwamalasa | Mwamashele | Ngofila | Seke-Bukoro | Shagihilu | Somagedi | Songwa | Talaga | Uchunga | Ukenyenge |