Wilaya ya Bunda

Wilaya ya Bunda ni wilaya moja ya Mkoa wa Mara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 260,000 [1].
Makao makuu ya wilaya yapo mjini Bunda. Misimbo ya posta wilayani ni 31501 hadi 31528.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Tanzania.go.tz/census/census/districts/bunda. Jalada kutoka ya awali juu ya 2003-12-17. Iliwekwa mnamo 2003-12-17.
![]() |
Kata za Wilaya ya Bunda - Mkoa wa Mara - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Balili | Bunda Mjini | Bunda Stoo | Butimba | Chitengule | Guta | Hunyari | Igundu | Iramba | Kabasa | Kasuguti | Ketare | Kibara | Kisorya | Kunzugu | Mcharo | Mihingo | Mugeta | Namhula | Nampindi | Nansimo | Neruma | Nyamang'uta | Nyamuswa | Nyasura | Salama | Sazira | Wariku |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Bunda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |