Bunda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mji wa Bunda

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Tanzania" does not exist.Mahali pa Bunda katika Tanzania

Majiranukta: 2°1′12″S 33°52′16″E / 2.02000°S 33.87111°E / -2.02000; 33.87111
Nchi Tanzania
Mkoa Mara
Wilaya Bunda
Idadi ya wakazi
 - 63,001
Msimbo wa posta 31501 hadi 31504  

Bunda ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Bunda katika Mkoa wa Mara, Tanzania. Eneo la mji linajumlisha kata za Balili, Bunda MjiniBunda Stoo na Nyasura.  Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata za mji wa Bunda zina wakazi wapatao 63,001 waishio humo. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Repoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2003-12-17.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Bunda - Mkoa wa Mara - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Balili | Bunda Mjini | Bunda Stoo | Butimba | Chitengule | Guta | Hunyari | Igundu | Iramba | Kabasa | Kasuguti | Ketare | Kibara | Kisorya | Kunzugu | Mcharo | Mihingo | Mugeta | Namhula | Nampindi | Nansimo | Neruma | Nyamang'uta | Nyamuswa | Nyasura | Salama | Sazira | Wariku


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bunda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.