Nansimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nansimo ni kata ya Wilaya ya Bunda katika Mkoa wa Mara, Tanzania yenye postikodi namba 31521.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,714 waishio humo.[1]

Wakazi wake hujishughulisha zaidi na kilimo, ufugaji na uvuvi wa samaki katika ziwa Victoria.

Ni kata ambayo imebarikiwa kuwa na vivutio mbalimbali kama vile: safu ya milima, mito na kisiwa kizuri cha Nafuba.

Pia utamaduni wa aina mbalimbali kutoka kwa makabila ya Wajita na Wakerewe umekuwa kivutio kikubwa ndani na nje ya kata hii.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Bunda Vijijini - Mkoa wa Mara - Tanzania

Butimba | Chitengule | Hunyari | Igundu | Iramba | Kasuguti | Ketare | Kibara | Kisorya | Mihingo | Mugeta | Namhula | Nampindi | Nyamihyoro| Nansimo | Neruma | Nyamang'uta | Nyamuswa Salama


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nansimo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.