Wilaya ya Kilindi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kwa maana mbalimbali ya jina hili tazama hapa Kilindi

Kilindi District Council
Location in Tanzania (dark green)
Location in Tanzania (dark green)
Country Tanzania
Zone Northern
Region Tanga
Serikali
 - DC Mh.Sauda Salumu Mtondoo
 - DED Mr.Clemence Mwakasendo
Eneo
 - District 3,428.43 km²
Postcode 216xx
Area code(s) 027
Tovuti: kilindidc.go.tz

Wilaya ya Kilindi ni kati ya wilaya 10 za Mkoa wa Tanga katika Tanzania yenye postikodi namba 74208 .[1]. Imepakana na wilaya ya Handeni upande wa mashariki, Mkoa wa Kilimanjaro upande wa magharibi-kaskazini na Mkoa wa Morogoro upande wa kusini.

Mwaka 2012 ilikuwa na wakazi 236,833 [2] walioishi katika kata 20 za wilaya hiyo.

Makao makuu ya wilaya apo Songe.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kilindi - Mkoa wa Tanga - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Jaila | Kibirashi | Kikunde | Kilindi | Kilwa | Kimbe | Kisangasa | Kwediboma | Kwekivu | Lwande | Mabalanga | Masagulu | Mkindi | Msanja | Mvungwe | Negero | Pagwi | Saunyi | Songe | Tunguli