Kilindi
Mandhari
Kilindi inaweza kutaja mahali mbalimbali pamoja na
- Wilaya ya Kilindi katika Mkoa wa Tanga nchini Tanzania
- Kilindi (Kilindi), kata ya Wilaya ya Kilindi
- Kilindi (Chakechake), kata ya Wilaya ya Chake Chake katika Mkoa wa Pemba Kusini, Tanzania
- Kilindi (Unguja Kaskazini), kata ya Wilaya ya Unguja Kaskazini 'A' katika Mkoa wa Kaskazini Unguja, Tanzania
- Kilindi (Matiri), kijiji cha kata ya Matiri, Wilaya ya Mbinga kwenye Mkoa wa Ruvuma, Tanzania