Kilindi (Matiri)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa maana mbalimbali ya jina hili tazama hapa Kilindi

Kilindi ni kijiji cha kata ya Matiri kwenye Wilaya ya Mbinga katika Mkoa wa Ruvuma, Tanzania.

Vitongoji vyake ni: Kilindi juu, Mhiwila, Namakutu, Ngangila Chini, Ngangila Juu, Limboni A, Limboni B, Lami na Nkwela

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kilindi (Matiri) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.