Tunguli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tunguli ni kata ya Wilaya ya Kilindi katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 7,774 waishio humo.

Jamii yake hujihusisha sana na kilimo cha mahindi, maharagwe, kwa wingi; pia wana kilimo cha mazao jamii ya mbaazi. Wakazi hao pia hujihusisha na ufugaji wa mbuzi, ng'ombe na kondoo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tunguli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kilindi - Mkoa wa Tanga - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Jaila | Kibirashi | Kikunde | Kilindi | Kilwa | Kimbe | Kisangasa | Kwediboma | Kwekivu | Lwande | Mabalanga | Masagulu | Mkindi | Msanja | Mvungwe | Negero | Pagwi | Saunyi | Songe | Tunguli