Wilaya ya Longido

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa wilaya ya Longido katika mkoa wa Arusha.

Wilaya ya Longido ni wilaya moja ya Mkoa wa Arusha yenye postikodi namba 23500[1].

Wilaya hii ilianzishwa mwaka 2007 kutokana na sehemu za wilaya ya Monduli. Wakati wa sensa ya mwaka 2012 wilaya ilikuwa na wakazi 123,153. [2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Longido kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Kata za Wilaya ya Longido - Mkoa wa Arusha - Tanzania

Eleng'ata Dapash | Engarenaibor | Engikaret | Gelai Lumbwa | Gelai Meirugoi | Ilorienito | Kamwanga | Ketumbeine | Kimokouwa | Longido | Matale | Mundarara | Namanga | Noondoto | Olmolog | Orbomba | Sinya | Tingatinga|