Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Kasulu Vijijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kasulu (nyeusi) katika mkoa wa Kigoma.

Wilaya ya Kasulu Vijijini ni wilaya ya Mkoa wa Kigoma iliyoanzishwa 2012 kutoka kwa Wilaya ya Kasulu ya awali. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 425.794 Eneo lake ni km² 7,196.12 na msongamano wa watu ni 59.2 kwa kila km² [1]

Makao makuu ya wilaya yako Kasulu mjini.

Wakazi walio wengi ni Waha. Wilaya hii ilikuwa na makambi 2 kwa ajili ya wakimbizi, Mtabila kwa ajili ya wakimbizi kutoka Burundi na Nyarugusu kwa watu kutoka Kongo.

Kata za Wilaya ya Kasulu Vijijini - Mkoa wa Kigoma - Tanzania

Asante Nyerere | Bugaga | Buhoro | Heru Ushingo | Kagera Nkanda | Kalela | Kigembe | Kitagata | Kitanga | Kurugongo | Kwaga | Makere | Muzye | Nyachenda | Nyakitonto | Nyamidaho | Nyamnyusi | Rungwe Mpya | Rusesa | Shunguliba | Titye


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kasulu Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.