Wilaya ya Kasulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Kasulu (kijani) katika mkoa wa Kigoma.

Wilaya ya Kasulu ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Kigoma. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 425,794 [1]

Tangu mwaka 2012 eneo lake limegawiwa kwa wilaya za Kasulu Vijijini na Kasulu Mjini.

Buhigwe ni wilaya mpya iliyoko jimbo la mashariki mwa kasulu, ikipakana na nchi ya BURUNDI. Inazo Hospitali za MUHINDA ambayo ni ya mission ya kikatoliki, NYAMASOVU pia ya mission ya kisabato. MANYOVU ni tarafa muhimu sana kwa kilimo cha kahawa, ndizi, nanasi, miti ya matunda, mito iko mingi ukanda huu, maji yake ni takriban mwaka mzima hayakauki.

Kata ya Muhinda ina vijiji vipatavyo vinne Muhinda makao makuu ya kata inazo shule za msingi tatu sawa na vijiji vitatu vilivyogawika kutoka makao makuu MUHINDA, KIGARAGA, RUHUBA. Sekondari mbili, St BAKANJA na MUHINDA SECONDARY. Kata na vijiji tangu ukoloni ni pamoja na MUHINDA, MWAYAYA, NYARUBOZA na MBAGA. Kata ya MUHINDA inapakana kama ifuatavyo NYARUBANDA, MUKIGO RUSABA hizi ni kata za kigoma vijijini (MANYOVU) JANDA; MNANILA.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kasulu - Mkoa wa Kigoma - Tanzania Flag of Tanzania.svg

BuhigweBuhoroHeru UshingoJandaKagera NkandaKajanaKasulu MjiniKigondoKilelemaKitagataKitangaKwagaMsambaraMuhindaMuhungaMunanilaMunyegeraMurufitiMuyamaMuzenzeMuzyeNyakitontoNyamidahoNyamnyusiNyamugaliRuhitaRungwe MpyaRusabaRusesaTitye