Nanasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mananasi

Nanasi ni aina ya matunda yaliyo na mifano ya miiba pia hutoa maji matamu yanayotumika kutengenezea juisi. Linatokana na mnanasi (Ananas comosus).

Nanasi hutumika kuimarisha uwezo wa ubongo kufikiria.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nanasi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.