Wilaya ya Buhigwe
Buhigwe ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Kigoma yenye postikodi namba 47500[1], ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012. Kufuatana na sensa ya 2012 idadi a wakazi ilikuwa watu 254,342.[2]
Makao makuu ya wilaya yako Buhigwe.
Marejeo
- ↑ https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/kigoma.pdf[dead link]
- ↑ Sensa ya 2012, Kigoma - Buhigwe[dead link]
![]() |
Kata za Wilaya ya Buhigwe - Mkoa wa Kigoma - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Biharu | Buhigwe | Bukuba | Janda | Kajana | Kibande | Kibwigwa | Kilelema | Kinazi | Mkatanga | Mubanga | Mugera | Muhinda | Munanila | Munyegera | Munzeze | Nyamugali | Muyama | Mwayaya | Rusaba |