Iringa Vijijini
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Iringa Vijijini)

Mahali pa Iringa Vijijini (kijani) katika mkoa wa Iringa kabla haujamegwa.
Wilaya ya Iringa Vijijini ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Iringa.
Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 254,032 [1]
Wakazi wa wilaya ya Iringa ni hasa Wahehe, ingawa Wabena, Wakinga, Wawanji walihamia kutoka Njombe kuja kufanya kazi katika mashamba ya tumbaku ya Wagiriki.
Kati ya wazawa wa mkoa huu maarufu ni chifu Mkwawa aliyepinga ukoloni wa Wajerumani miaka ya 1880.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Kata za Wilaya ya Iringa Vijijini - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Idodi | Ifunda | Ilolo Mpya | Itunundu | Izazi | Kalenga | Kihorogota | Kising'a | Kiwere | Luhota | Lumuli | Lyamgungwe | Maboga | Maguliwa | Mahuninga | Malenga Makali | Masaka | Mboliboli | Mgama | Migoli | Mlenge | Mlowa | Mseke | Nduli | Nyang'oro | Nzihi | Ulanda | Wasa |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Iringa Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |