Wilaya ya Hanang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Eneo la Hanang katika Mkoa wa Manyara

Wilaya ya Hanang ni wilaya moja ya Mkoa wa Manyara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Hanang ilihesabiwa kuwa 205,133 [1].

Hanang imepakana na wilaya za Mbulu na Babati upande wa kaskazini halafu mikoa ya Dodoma upanda wa kusini mashariki na Singida kwa kusini-magharibi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Hanang - Mkoa wa Manyara - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Badangdalalu | Bassodesh | Bassotu | Endasaki | Ganana | Gehandu | Gendabi | Getanuwas | Gidahababieg | Gisambalang | Gitting | Hidet | Hirbadaw | Katesh | Laghanga | Masakta | Masqaroda | Measkron | Mogitu | Nangwa | Simbay | Sirop


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Hanang kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.