Sirop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sirop ni kata ya Wilaya ya Hanang katika Mkoa wa Manyara, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,563 waishio humo.[1]

Wenyeji wa kata hiyo ni Wafyomi wenye asili ya Wairaqw. Kata imepakana na Wilaya ya Kondoa. Wakazi wa sirop hutegemea kilimo na ufugaji.

Marejeo

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Hanang - Mkoa wa Manyara - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Balangdalalu | Bassodesh | Bassotu | Dirima | Endasaki | Endasiwold | Ganana | Gehandu | Gendabi | Getanuwas | Gidahababieg | Gisambalang | Gitting | Hidet | Hirbadaw | Katesh | Laghanga | Lalaji | Masakta | Masqaroda | Measkron | Mogitu | Nangwa | Simbay | Sirop


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sirop kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.