Wilaya ya Kakonko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kakonko ni wilaya mpya katika mkoa wa Kigoma yenye postikodi namba 47700[1], ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.

Eneo lake limemegwa kutoka wilaya ya Kibondo na lina ukubwa wa kilomita za mraba 2,209[2].

Idadi ya wakazi ilikuwa watu 167,555 wakati wa sensa wa mwaka 2012.[3]

Makao makuu ya wilaya yako Kakonko.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/kigoma.pdf[dead link]
  2. https://www.citypopulation.de/en/tanzania/admin/kigoma/1607__kakonko/
  3. Sensa ya 2012, Kigoma - Kakonko[dead link]
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kakonko - Mkoa wa Kigoma - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Gwanumpu | Kakonko | Kasanda | Kasuga | Katanga | Kiziguzigu | Mugunzu | Muhange | Nyabibuye | Nyamtukuza | Rugenge

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kakonko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.