Kakonko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kakonko
Kakonko is located in Tanzania
Kakonko
Kakonko
Mahali pa Kakondo katika Tanzania
Majiranukta: 3°16′49″S 30°57′58″E / 3.28028°S 30.96611°E / -3.28028; 30.96611
Nchi Tanzania
Mkoa Kigoma
Wilaya Wilaya ya Kakonko
Idadi ya wakazi
 - 21,827

Kakonko ni jina la makao makuu ya Wilaya ya Kakonko katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 21,827 waishio humo.[1]

Wilaya hiyo mpya ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kakonko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.