Wilaya ya Kibondo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia hapa Kibondo (maana)

Mahali pa Kibondo (kijani) katika mkoa wa Kigoma.

Wilaya ya Kibondo ni wilaya moja ya Mkoa wa Kigoma yenye postikodi namba 47400[1]. Mwaka 2012 maeneo kadhaa yalitangwa na wilaya hii kuunda wilaya ya Kakonko. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 261,331 [2].

Makao makuu ya wilaya yako mjini Kibondo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kibondo - Mkoa wa Kigoma - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bitare | Bunyanbo | Busagara | Busunzu | Itaba | Kibondo | Kitahana | Kizazi | Kumsenga | Mabamba | Misezero | Murungu | Rugongwe


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kibondo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.