Wilaya ya Nyangh'wale
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Nyang'hwale)
Jump to navigation
Jump to search
Nyang'hwale ni jina la wilaya mpya katika mkoa mpya wa Geita, ambavyo vyote vilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012. Makao makuu ya wilaya yapo Kharumwa.
Wilaya hii ilikuwa na wakazi wapatao 148,320 wakati wa sensa ya mwaka 2012. [1] Misimbo ya posta katika wilaya hii inaanza kwa namba 302xx.
Wilaya ya Nyang'hwale ina shule ya sekondari Kongwe.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Kata za Wilaya ya Nyang'hwale - Mkoa wa Geita - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bukwimba | Busolwa | Izunya | Kaboha | Kafita | Kakora | Kharumwa | Mwingiro | Nundu | Nyabulanda | Nyamtukuza | Nyang'hwale | Nyijundu | Nyugwa | Shabaka |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |