Izunya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Izunya ni kata ya Wilaya ya Nyang'hwale katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Msimbo wa posta ni 30210.

Kata hiyo ina vijiji vitatu ambavyo ni Izunya, Mwamakiliga na Kanegele.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 13,103 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,521 waishio humo.[2]

Kata ina shule ya sekondari inayojulikana kwa jina la Izunya Secondary School ambayo ilianzishwa rasmi mwaka 2019 ikifunguliwa na mbunge wa wilaya ya Nyang'hwale, Hussein Nasoro.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Nyang'hwale - Mkoa wa Geita - Tanzania

Bukwimba | Busolwa | Izunya | Kaboha | Kafita | Kakora | Kharumwa | Mwingiro | Nundu | Nyabulanda | Nyamtukuza | Nyang'hwale | Nyijundu | Nyugwa | Shabaka

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.