Wilaya ya Geita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa wilaya ya Geita (kijani cheusi) ilipokuwa katika mkoa wa Mwanza.
Ramani ya wilaya ya Geita kabla Mkoa wa Mwanza haujamegwa.

Wilaya ya Geita ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Geita, nchini Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 712,195 [1] Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 807,619 [2] Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 1,035,214 [3].

Msimbo wa posta ni 30118 [4]

Geita kwa sasa inakuja juu kutokana na watu kuwekeza katika mkoa wake mpya. Pia kuna miundombinu inayojengwa kama vile barabara na shule mbalimbali.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Geita - Mkoa wa Geita - Tanzania

Bugalama | Bugulula | Buhalahala | Bujula | Bukoli | Bukondo | Bulela | Bung'wangoko | Busanda | Butobela | Butundwe | Chigunga | Ihanamilo | Isulwabutundwe | Izumacheli | Kagu | Kakubilo | Kalangalala | Kamena | Kamhanga | Kanyala | Kasamwa | Kaseme | Katoma | Katoro | Lubanga | Ludete | Lwamgasa | Lwenzera | Magenge | Mgusu | Mtakuja | Nkome | Nyachiluluma | Nyakagomba | Nyakamwaga | Nyalwanzaja | Nyamalimbe | Nyamboge | Nyamigota | Nyamwilolelwa | Nyanguku | Nyankumbu | Nyarugusu | Nyaruyeye | Nyawilimilwa | Nzera | Senga | Shiloleli


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.