Kamena
Kamena ni kata ya Wilaya ya Geita katika Mkoa wa Geita, Tanzania.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 21,700 waishio humo.[1] Msimbo wa posta ni 30111.
Kamena ni eneo moja kubwa la kata hiyo ambayo kwa sasa inaundwa na vijiji vya Kamena, Nyabulolo, Nyashihima, Bushishi, Ndelema na Imalampaka.
Wakazi wa kata ya Kamena ni wakulima na wafugaji; mazao makuu yanayolimwa ni pamoja na pamba, mpunga, mahindi, mihogo na viazi vitamu.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Kata za Wilaya ya Geita - Mkoa wa Geita - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bugalama | Bugulula | Buhalahala | Bujula | Bukoli | Bukondo | Bulela | Bung'wangoko | Busanda | Butobela | Butundwe | Chigunga | Ihanamilo | Isulwabutundwe | Izumacheli | Kagu | Kakubilo | Kalangalala | Kamena | Kamhanga | Kanyala | Kasamwa | Kaseme | Katoma | Katoro | Lubanga | Ludete | Lwamgasa | Lwenzera | Magenge | Mgusu | Mtakuja | Nkome | Nyachiluluma | Nyakagomba | Nyakamwaga | Nyalwanzaja | Nyamalimbe | Nyamboge | Nyamigota | Nyamwilolelwa | Nyanguku | Nyankumbu | Nyarugusu | Nyaruyeye | Nyawilimilwa | Nzera | Senga | Shiloleli |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |